Collaboration ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa sana hatimaye imetimia tarehe, ni kati ya Ali Kiba na Christian Bella, wimbo unaitwa Nagharamia umetengenezwa na Abby Daddy.